FOR FURTHER INFORMATION CONTACT: +255 652 314 181
Friday, 28 February 2014
Monday, 24 February 2014
TAZAMA JINSI GANI NICKI MINAJ, BEYONCE NA KIM WALIVYOPENDEZA NDANI YA VAZI LA KITENGE.
BEYONCE AKIWA NDANI YA PENSI YA KITENGE. KWELI AFRIKA NI MAMA MZURI
RIHANNA NDANI YA KITENGECHA BLACK AND WHITE. UBUNIFU NI KILA KITU KATIKA MAVAZI
NICKI MINAJ AKIWA NDANI YA VAZI LA KITENGE. NGUO ZA KIAFRIKA ZINAPENDEZA SANA, ASIKUDANGANYA MTU.
AMBER ROSE NA KIM.
KAMA UNAFANYA SHUGULI YA UBUNIFU WA MAVAZI, MODELING NA UUZAJI WA MAVAZI YA UBUNIFU USISITE KUTUTAFUTA TUWEKE UBUNIFU WAKO MBELE YA JAMII. CONTACTS US, YOU ARE WELCOME.
TAZAMA KEKI 10 ZENYE UZURI WA PEKEE KATI YA KEKI NYINGI ZA HARUSI
KEKI HII YA HARUSI NI MOJA KATI YA KEKI NZURI SANA ZA HARUSI IWAPO MAPAMBO YA HARUSI YATAKUA NA RANGI YA NJANO AMA GOLD NA NYEUPE. CAKE HII INA FLAVOUR YA VANILLA NA ILITENGENEZWA RASMI KWA AJILI YA MCHEZA FILAMU MAARUFU HUKO USWIZI.
USISTAAJABU UKADHANI HAYA NI MAUA YAMEPAMBWA MEZANI. HII NI KEKI YA HARUSI ILIYOTENGENEZWA KWA MFANO WA MAURIDI. LENGO LA KUTENGENEZA CAKE HII KWA RANGI NYEUPE NI KUASHIRIA USAFI WA MOYO, UMOJA NA UPENDO WA DHATI.
KEKI HII NI NZURI HASA KWA SABABU YA JINSI ILIVYOKUA NA UMBILE LA KUFANANIA NA UA. PIA UPAMBAJI WAKE WA PEMBENI HUVUTA HISIA YA KUTAMANI KUJUA AU KUGUSA JAPO UJUI ZILIVYOTUMIKA KUPAMBA NI NINI.
UNAPENDA CHOCOLATE? KEKI HII YA HARUSI AMBAYO ASILI YAKE NI UHOLANZI IMETENGENEZWA KWA LADHA YA CHOCOLATE ILA JINSI ILIVYOPAMBA NI MAAJABU. MTENGENEZAJI WA KEKI HII ANAITWA AMY DE GIULIO NA USTADI WAKE WA KUPAMBA KEKI KUNAWEZA KUKUFANYA USITAMANI KUIKATA.
KEKI HII IMEPEWA NAFASI NZURI KATI YA KEKI BORA DUNIANI SABABU YA UBUNIFU MKUU ULIOPO HAPO JUU. MTENGENEZA KEKI HUYU ALIWEZA KUTUMIA UBUNIFU WA HALI YA JUU KUWEKA PAMBO AMBALO LINAFANANA KWA ASILIMIA 100 PETE YA ENGAGEMENT ALOVALISHWA BIBI HARUSI KABLA YA NDOA. PIA UWEPO WA PEARLS KATIKA UPAMBAJI WAKE NI WA USTADI.
KEKI HII KWA GHARAMA YAKE YA AWALI NI $400. SABABU YA KEKI HII KUA NA BEI HII NI KAZI KUBWA ALOIFANYA MTENGENEZAJI KATIKA KUPANGA VIPANDE VYA CHOCOLATE NYEUPE KATIKA KILA NGAZI YA KEKI HII
UMESHWAI KUONA KEKI IMEFANANA NA KADI YAKO YA MUALIKO? KEKI HII AMBAYO INA LADHA YA CHOCOLATE KWA SEHEMU MOJA, STRAWBERRY KWA SEHEMU NYINGINE NA VANILLA LWA UPANDE MWINGINE NI KAZI YA UBUNIFU AMBAYO INAWEZA KUFANYA SHEREHE YAKO IWE NA JAMBO LA KUONGELEA
KAKI HII INA UMBILE LA PENTAGON AMBAPO INA NGAZI KUU 4. KITU KILICHOFANYA KEKI HII KUONEKANA NZURI ZAIDI NI MAPAMBO YA AINA TOFAUTI KATIKA KILA NGAZI AAMBAPO INAONESHA KABISA MTENGENEAJI HAKUA MZEMBE.
RANGI YA PINKI NA NYEKUNDU NI MOJAWAPO KATI YA VIVUTIO VIKUU KATIKA KEKI HII YA HARUSI. THE CAKE IS SIMPLE BUT STILL VERY BEAUTIFUL.
UPAMBAJI SIKU ZOTE HULETA TOFAUTI KATI YA KEKI MOJA NA INGINE. RANGI YA KIJANI ILIYOPAUKA PAMOJA NA MAPAMBO YNAYOFANANA NA MKUFU YAMEFANYA KEKI HII IWE KATI YA NZURI NA ZENYE UBUNIFU MKUU.
KAMA UNAFANYA SHUGULI YA UPAMBAJI, UANDAAJI WA HARUSI NA UTENGENEZAJI KEKI USISITE KUTUTAFUTA TUWEKE UBUNIFU WAKO MBELE YA JAMII. CONTACTS US, YOU ARE WELCOME.
KAMA UNAFANYA SHUGULI YA UPAMBAJI, UANDAAJI WA HARUSI NA UTENGENEZAJI KEKI USISITE KUTUTAFUTA TUWEKE UBUNIFU WAKO MBELE YA JAMII. CONTACTS US, YOU ARE WELCOME.
Subscribe to:
Posts (Atom)