Thursday, 9 March 2017

Rais Magufuli Alipotumia Mistari Nyimbo Ya Darassa Kufikisha Ujumbe

Rais, Dkt. John Pombe Magufuli.
Rais, Dkt. John Pombe Magufuli.
img-20161130-wa0008

Rais wa awamu ya Tano wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli alidhihirisha kuwa ni mtu anayefatilia mambo mengi nchini ikiwemo kusikiliza nyimbo za wasanii pale aipoamua kutumia mistari ya nyimbo ya Darassa ya ‘Muziki’ wakati akiwahutubia wananchi katika moja ya hotuba zake Mkoani Mtwara.

Rais Magufuli alifurahisha wananchi pale alipokuwa akiwaasa wananchi waachane na ngoma za usiku na kuzingatia suala la elimu kuondokana na matokeo mabaya pale alipoamua kusema ‘Unaenda bila breki what do you expect’ na kuongeza kuwa mkishaimbiwa ‘changanya kama karanga ndio mnachanganyikiwa kabisa.

clouds stream