Saturday, 3 December 2016

Man city wafungwa 3 - 1 na chelsea Etihad

img-20161130-wa0008


Manchester City: Bravo, Otamendi, Stones, Kolarov, Fernandinho, Gundogan, Navas, Sane, De Bruyne, Silva, Aguero
Substitutes: Caballero, Zabaleta, Sagna, Clichy, Yaya Toure, Fernando, Iheanacho


Chelsea: Courtois; Azpilicueta, David Luiz, Cahill; Moses, Kante, Fabregas, Alonso; Pedro, Diego Costa, Hazard
Substitutes: Begovic, Ivanovic, Aina, Chalobah, Oscar, Willian, Batshuayi

Wafungaji:
Man City: Garry Cahill (amejifunga)
Chelsea: Diego Costa, William na Eden Hazard













Santos kujiuzulu kabla ya uchaguzi wa mwaka ujao

  • Dos Santos, ambaye ana umri wa miaka 74 alishinda uchaguzi wa kuwa Rais akiwa na umri wa miaka 34 pekee.
Dos Santos, ambaye ana umri wa miaka 74 alishinda uchaguzi wa kuwa Rais akiwa na umri wa miaka 34 pekee.
img-20161130-wa0008

Kituo cha radio cha Angola kinasema kwamba, Rais Jose Eduardo dos Santos, ambaye ametawala taifa hilo kwa karibu miongo minne atajiuzulu kabla ya Uchaguzi, mwaka ujao.

Waziri wa Ulinzi, Joao Lourenco, anatarajiwa kuwa mkuu wa chama kinachotawala cha MPLA.

Hii ni kumaanisha kuwa yeye atakuwa Rais iwapo chama chake kinashinda uchaguzi mwaka ujao.

Bwana Dos Santos, ambaye ana umri wa miaka 74, wakati mmoja alikuwa kiongozi mchanga zaidi katika Bara la Afrika aliposhinda uchaguzi wa kuwa Rais akiwa na umri wa miaka 34 pekee.

Amewahi kusema kuwa hatashiriki uchaguzi lakini baadaye akabadilisha maoni yake na kusimama tena.

Makundi ya kupambana na ufisadi yamemlaumu kwa kuendesha serikali kama biashara ya kibinafsi.

Urusi kuvuruga matangazo ya radio kutoka Ukrain kwenda Crimea

  • Urusi ilinyakua eneo la Crimea kutoka Ukrain mwaka 2014

img-20161130-wa0008
Urusi ilinyakua eneo la Crimea kutoka Ukrain mwaka 2014

Urusi inasema kuwa itavuruga matangazo ya Ukrain kwenda eneo la Crimea.
Waziri mmoja kutoka nchini Urusi alitangaza hatua hiyo baada ya Ukrain kuanza ujenzi wa mitambo ya kurusha matangazo karibu na eneo la Crimea, lililonyakuliwa na Urusi mwaka 2014.
Urusi inasema kuwa matangazo ya vyombo vya habari vya Ukrain huenda yakakiuka sheria za Urusi.
Ukrain ilianza shughuli ya ujenzi wa mitambo ya kupeperusha matangozo yenye urefu wa mita 150 eneo la Chongar mapema wiki hii.

clouds stream