Rais Magufuli Amng’oa Mkurugenzi Mwingine
Tarehe December 22, 2015
Rais Dkt.John Pombe Magufuli leo ametangaza kumsimamisha kazi mkurugenzi mkuu wa kampuni ya RAHCO Mhandisi Benhadad Tito na kuvunja Bodi hiyo.
Aidha, RAHCO ni Kampuni Miliki ya Rasilimali za Watu iliyo chini shirika la Reli Tanzania TRL.
Katika hatua nyingine Bodi hiyo iliiyovunjwa leo ilizinduliwa na aliyekuwa Waziri wa Uchukuzi Samuel Sitta tarehe 29 Oktoba, 2015 chini ya Mwenyekiti Prof. Mwanuzi Fredrick.
Taarifa kamili itakujia katika mtandao huu hivi punde.