Rais Magufuli amfukuza Kazi katibu mkuu wizara ya uchukuzi
Rais Dkt.John Pombe Magufuli.
Licha ya kumfukuza kazi Katibu Mkuu amevunja bodi yote ya Bandari na kutengua uteuzi wa Kaimu Mkurugenzi mkuu wa bandari Bw. Awadhi Massawe, Mwenyekiti wa bodi ya bandari pamoja maofisa 8 wa bandari na kuagiza wawekwe chini ya Ulinzi.
Habari kamili itafuata hivi punde.