Tuesday, 1 April 2014

PLOTS FOR SALE

Serial number
Property name
Size in sqm
Location
Description
Price in Tshs
01
NYUMBA
FOR SALE

340
Sinza       
Ina vyumba 3 moja ni master, jiko,dinning na store,ina kota ya mtumishi,ina parking magari 3 hivi,tiles, madirisa ya kisasa, ukuta na gate 2.Ipo sinza Mugabe nyuma ya wayside bar mita kama 100..Ina ofa
Milioni 180 na kushuka, maongezi yapo
02

NYUMBA
FOR SALE
686sqm
Bunju b
90 percent complete house for sale(Mpya). Ina vymba 3 moja self,sebule ya kisasa,kitchen na dinning ,madirisa ya kisasa,na eneo kuubwa sana tu.Ina hati ya miaka 66
Mil 150 na maongezi ruksa(mmiliki na kampuni yetu ya rockland real estate asilimia mia.
03
NYUMBA(SEMI FINISHED)


526sqm
Bunju b
Ina vyumba 3 moja self,ina jiko,vyoo vya wote,dinning na sebule,ina grills tayari na eneo lake ni kubwa tu.
Bei 40 na maongezi nakaribisha..hii pia ni yetu asilimia 100
04
MJUMBA


965sqm
Ukonga madafu
Vyumba 5 moja self,sebule, public,jiko na store,parking nayo ipo…hii inauzwa kwa haraka ,ina ofa
Bei mil 100 na maongezi
05
NYUMBA


NOT KNOWN
Bunju b
Nyumba 3 kwa pamoja ipo ndani ya ukuta, nyumba kubwa ina 3 rooms na master na kila kitu, gate kuna nyumba za wapangaji zote ni component moja, ina ofa
Mil 80 na maongezi
06
NYUMBA
NOT KNOWN
SINZA C(Jirani na stendi mpya ya dala dala )
Ina vymba 4 vikubwa sana moja self,sebule,jiko,na imezungushiwa ukuta mzito na gate ,Ina leseni ya makazi
Mil 100 na mazungumzo
07
NYUMBA
Known known
Bunju b( ipo jirani na bara bara kuu ni mwendo wad k 5 tu)
Ina 4 rooms moja ni master na sebule,jiko na dinning.Ni semi finished


Bei mil 25 tu
08
NYUMBA
NOT KNOWN
Tabata Liwiti
3 rooms, master, dinning na jiko+ sebule zote za kisasa, madirisha aluminium , bati msouth na tyles na paving blocks,iko na ukuta  mzuri tu



Bei mil 65 tu
09
NYUMBA /UWANJA WA UKUMBI
1996
Maili moja mjini mita chache toka stendi
Vyumba 11 master 2,visima vikubwa vya maji…inafaa kuwa Guest House, eneo linafaa kujengea ukumbu mkubwa wa sherehe,na kubaki eneo la parking.Ina hati ya miak 66


Inaanzia mil 180 na maongezi yapo(Tumekabidhiwa tuiuze)

10
NYUMBA/Plot


Eneo ni mita 67 kwa 32
Bunju b mita 800 toka bagamoyo road
Ni semi finished Nyumba na ni  ya kisasa, bati la south, room 3 moja ni master, jiko , dinning n aka stoo
Mil 60 anaaznia na mazungumzo








PLOTS FOR SALE. VIEW DETAILS

s/no
Plot
location
size
price
01
shamba
Kibaha – maili moja kama nusu km toka maili moja mjini
5 acres haina hati
Mil 2.5
02
Shamba
Kimbiji- jirani na kiwanda cha sementi, jirani na daraja jipya
40 acres na haina hati
Mil 300 na maongezi yapo
03
plot
mikocheni
Sqm 848
Mil 600
04
plot
Kawe beach jirani na kwa zamaradi kawawa
Sqm 545
Mil 230
05
plot
Mbweni mtaa wa malindi ina title
Sqm 900
Mil 50
06
plots
Goba, zipo 6 ktk eneo moja, mita 20 kwa 25
Not known
Mil 8 kwa kipimo
07
plots
Tegeta a, goba, bunju
varies
Kuanzia mil 8-15
08
plot
Bunju haina hati, jirani na bagamoyo road mita 100
25 kwa 35
Mil 25
09
plot
Mapinga haina hati
30 kwa 35
Mil 15
10
plot
Mbezi beach
Sqm 2200
Mil 350
11
plot
Mbezi luis
1500
Mil 17
12
shamba
Lipo mbezi msakuzi
Eka 13
Mil 450 negotiable






WALCOT NA VALENCIA ZAIDI YA MESSI KWA KASI!ORODHA YA WACHEZAJI MPIRA WENYE KASI KULIKO WOTE DUNIANI 2012-2013

FIFA imeweka hadharani orodha ya wachezaji ambao wana kasi zaidi wakiwa uwanjani. Oorodha hii imetegemeana hasa na kasi ya juu zaidi aliyoionesha mchezaji katika mechi kadha ndani ya msimu wa 2012-2013. Hii ndio orodha ya watu hao wenye kasi zaidi uwanjani.
1. ANTONIO VALENCIA(MANCHESTER UNITED).

Mchezaji Antonia Valencia wa manchester united anaongoza kwa spidi kwenye msimu huu akiwa na rekodi ya spidi 35.2 km/hr.

2. GARETH BALE (REAL MADRID).

Mchezaji Gareth Bale anashkilia nafasi ya pili kwa kuandika spidi iliyorekodiwa ya 34.7 km/h ambapo mchezaji huyu wa bei ghali zaidi hutumia mbio zaidi katika uchezaji wake.

3. AARON LENON (TOTENHAM HOTSPURS).

Aaron Lenon ameandika spidi ya 33.8 km/h ambapo mchezaji huyu alishika nafasi ya kwanza msimu wa 2011-2012

4. CHRISTIANO RONALDO (REAL MADRID).

Mchezaji bora wa mwaka Christiano Ronaldo ameandika spidi ya 33.6 km/h.

5. THEO WALCOT (ARSENAL).

Mchezaji wa Arsenal Theo Walcot ameshikilia nafasi ya 3 kwa kua na spidi ya 32.7 km/h ambapo amemzidi mpaka lionel messi wa Barcelona kwa kutoka nduki.

6. LIONEL MESSI (BARCELONA).

Lionel Messi amekaa katika nafasi ya sita ambapo speed yake ya kurekodiwa ni 32.5 km/h

7. WAYNE ROONEY (MANCHESTER UNITED).

Wayne Rooney wa Man United ameandika rekodi ya kasi kua 32.1 Km/h ambapo pamoja na kasi hii, mchezaji huyu amekua na uwezo mkubwa wa kukaa na mpira pamoja na kutumia nguvu.

8. FRANCK RIBERY (BAYERN MUNICH).

Franck Ribery wa Bayern Munich na ufaransa ameshikilia nafasi ya 8 katika kufukuza upepo akiwa uwanjani kwa kuwa na kasi ya 30.7 km/h ambapo hajapishana na mwenzie Arjen Robben.

9. ARJEN ROBBEN (BAYERN MUNICH).

Kama alivyo Franck, ndivyo alivyo Robben kwa kasi ambapo pia amefikisha kasi ya 30.7 km/h. Akionekana kama mzee ila kwenye mbio, mchezaji huyu ni hatari sana kwa walinzi wa timu pinzani.

10. ALEXIS SANCHEZ (BARCELONA).

Alexis Sanchez amefikisha kasi ya 30.1 km/h ambapo amejumuika na wachezaji wengine wa ligi ya Hispania katika nafasi hio huku akionesha kiwango kizuri mbele ya goli.

clouds stream