Sunday, 14 February 2016

Mapya Yaibuka,Waziri Kuvujisha Ziara Ya Waziri Mkuu Kwa Meseji

Mapya Yaibuka,Waziri Kuvujisha Ziara Ya Waziri Mkuu Kwa Meseji

Tarehe February 14, 2016
Waziri wa Nishati na Madini Prof.Sospeter Muhongo.
Waziri wa Nishati na Madini Prof.Sospeter Muhongo.
Mjadala mkali umezuka katika mitandao ya kijamii kuhusiana na nani hasa aliyevujisha ziara ya Waziri mkuu Kassim Majaliwa Bandarini baada ya kubaini kuwepo zuio la kufunga kwa mita za mafuta  kwa zaidi ya miaka mitano.
Katika ziara hiyo ambayo ni  ya kushitukiza Waziri mkuu alibaini kuwa mita zilifungwa baada ya kuwepo taarifa kuwa yeye atafanya ziara ya kushitukiza katika eneo hilo.
Akiwa Bandarini hapo  Majaliwa alikagua maeneo mbalimbali ndipo alipobaini kuwa mita za kupimia mafuta hazikuwa zinafanya kazi muda wa miaka 5 na zimeanza kufanya kazi siku moja kabla ya ziara yake.
Baada ya kumbana Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo na Mizani, Bibi Magdalena Chuwa, ndipo amemtaja Waziri wa nishati na madini Prof Sospeter  Muhongo kuwa ndiye aliyemtumia meseji akimpa maelekezo kwamba katika muda wa masaa 24 mita hizo ziwe zimefungwa na kuanza kufanya kazi.
Kufuatia sakata hilo la mita Serikali   imewasimamisha kazi Afisa  Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Vipimo nchini (WMA), Magdalena Chuwa na Meneja Vipimo Kitengo cha Bandari, Bernadina Mwijarubi.
Akitangaza uamuzi huo kwenye kikao cha Makatibu Wakuu kilichofanyika , Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemwagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Dk. Adelhelm Meru awaandikie barua za kuwasimamisha kazi ili kupisha uchunguzi huo.
Waziri Mkuu pia alisema ofisi yake itawaandikia barua ofisi ya TAKUKURU na polisi ili wafuatilie suala hilo mara moja na ikithibitika kuwa walihusika hatua rasmi zitachukuliwa na itathibitika hawakuhusika basi watarudishwa.

Trump Ataka Wazungu Waitawale Tena Afrika, Je Unakubaliana Naye

Trump Ataka Wazungu Waitawale Tena Afrika, Je Unakubaliana Naye

Tarehe February 14, 2016
Donald Trump
Donald Trump
Mfanyabiashara wa kimarekani, na Mgombea Urais,  Donald Trump amesema Afrika inahitajika kutawaliwa tena. Mara hii ameonyesha ghadhabu zake kwa viongozi wa Afrika ambao kwa mujibu wa Trump, wameshindwa kuongoza na kuwabakisha watu wao kwenye hali mbaya zaidi.
Akiongea jana mjini Nebraska, Trump amesema waafrika ni watumwa wanaoishi kitumwa kwenye ardhi yao wenyewe na bado wanajiita wako huru.
Trump alikuwa akijibu swali la mwandishi wa habari kutoka Afrika ya kusini kama anafikiri viongozi wa kiafrika walikuwa sawa kutaka kutoka mahakama ya kimataifa ya uhalifu ‘The Hague’.
“Ni aibu kwa viongozi wa Afrika kutaka kutoka ICC. Kwa mtazamo wangu, viongozi hawa wa kiafrika wanahitaji uhuru wa kuwakandamiza watu wao maskini bila mtu yeyote kuwauliza maswali.
Nafikiri hamna njia fupi kuelekea kwenye ukomavu na kwa mtazamo wangu, Afrika inatakiwa kutawaliwa tena kwa sababu waafrika bado wapo kwenye ukoloni.
Angalia jinsi hawa viongozi wa kiafrika wanavyobadili katiba kwa maslahi yao ili waishi marais. Wote wana tamaa na hawawajali watu wa kawaida” Alisema Trump.

Baada Ya Man United Kupokea Kichapo Jana,Huu Ndio Msimamo Wa Ligi EPL Angalia Hapa

Baada Ya Man United Kupokea Kichapo Jana,Huu Ndio Msimamo Wa Ligi EPL Angalia Hapa

Tarehe February 14, 2016
Wayne Rooney wa Manchester
Wayne Rooney wa Manchester
POSLPCLUBPWDLGFGAGDPTS
1(1)Leicester City25158247272053
2(2)Tottenham Hotspur25139345192648
3(3)Arsenal25146539221748
4(4)Manchester City25145647262147
5(5)Manchester United2611873324941
6(7)Southampton26117834241040
7(6)West Ham United26101064031940
8(10)Watford26106102928136
9(11)Stoke City26106102732-536
10(8)Everton26811746351135
11(9)Liverpool259883236-435
12(13)Chelsea268993836233
13(12)Crystal Palace2695122732-532
14(14)West Bromwich Albion2688102432-832
15(15)Bournemouth2677123044-1428
16(16)Swansea City2669112434-1027
17(18)Norwich City2666143050-2024
18(17)Newcastle United2666142749-2224
19(19)Sunderland2665153250-1823
20(20)Aston Villa2537152040-2016
POSLPCLUBPWDLGFGAGDPTS

clouds stream