Thursday, 18 May 2017

Mauaji Pwani: Mwenyekiti Wa CCM Auawa

bastola
IMG-20170426-WA0006
Mwenyekiti wa CCM tawi la Njia Nne Wilayani Kibiti, Mkoani Pwani anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na watu wasiojulikana usiku wa kuamkia leo, polisi yathibitisha.
Katika tukio hilo mtoto wake amejeruhiwa baada ya kupigwa risasi tumboni.
Ndugu msomaji endelea kufatilia mtandao wako pendwa wa hivisasa.co.tz kwa habari zaidi juu ya tukio hilo.

clouds stream