Aliyekuwa Mwenyekiti Mwenza wa chama cha NLD Bw.Emmanuel Makidi.
Mwenyekiti Mwenza wa Ukawa kupitia chama cha NLD Bw.Emmanuel Makidi
amefariki dunia leo mkoani Lindi katika Hospitali ya Nyangao.
Kwa mujibu wa mke wake Bi Modesta Makaidi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo.