Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Chadema, Edward Lowassa, Katika Uwanja wa Isanja, Kata ya Nasai, Jimbo la Siha.
Maelfu ya wananchi jana walihudhuria mkutano wa kampeni wa Umoja wa
katiba ya Wananchi Ukawa ulio ongozwa na mgombea urais wa Ukawa Edward
Lowassa katika maeneo ya Karatu na Siha mkoai Kilimanjaro.
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa,