Monday, 13 October 2014

Raheem Sterling asked to 'sit out' England Euro 2016 qualifier

England coach Roy Hodgson believes he should not be solely responsible for resting Raheem Sterling after the Liverpool midfielder asked to "sit out" the Euro 2016 qualifier in Estonia.
Hodgson said Sterling, 19, complained about fatigue on the eve of the game.
"He said, 'I'm feeling tired, I'd rather sit this one out'," Hodgson told BBC Radio 5 live after the 1-0 win.
The 67-year-old added: "It's unfair if all the expectations to give the player a little bit of a break fall on me."
Sterling came on in the 64th minute for club-mate Jordan Henderson, and was fouled for the free-kick that England captain Wayne Rooney curled into the bottom right-hand corner to maintain England's 100% record after three games in Group E.
The teenager has already been rested by club manager Brendan Rodgers this campaign for the league match

Maofisa polisi 120 watimuliwa

Maofisa polisi 120 watimuliwa

polisiMaofisa wa Polisi wapatao 120 wa Jeshi la Polisi, waliokuwa wakihudhuria mafunzo ya kupandishwa vyeo katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi (MPA), wametimuliwa chuoni hapo. 
 
Habari za uhakika zilizopatikana jana kutoka ndani ya chuo hicho zamani kikijulikana kama CCP, zimedai uamuzi wa kuwaondoa chuoni ulitangazwa jana na mkuu wa chuo hicho, Matanga Mbushi.
 
Vyanzo mbalimbali vililidokeza Mwananchi  kuwa, waliotimuliwa chuoni hapo ni maofisa ambao wana ulemavu wa aina mbalimbali walioupata wakiwa wanatekeleza majukumu yao ya kazi.
 
Habari hizo zilisema hadi jana saa 9:00 alasiri, maofisa hao walikuwa ofisi za mkuu wa chuo hicho wakisubiri kupatiwa maelekezo ya namna ya kurejea katika vituo vyao vya kazi mikoa mbalimbali.
 
“Wako 120 hivi walikuja hapa (MPA) kwa ajili ya kuchukua kozi za Koplo, Sajenti, Meja na ‘Assistant Inspector’ (wakaguzi wasaidizi), lakini ndiyo hivyo wametuambia tuondoke,” kilidokeza chanzo chetu.
 
Hata hivyo, ofisa mmoja alilidokeza Mwananchi kwamba mkuu wa zamani Jeshi la Polisi (IGP), Said Mwema, ambaye amestaafu, ndiye wa kulaumiwa kwa kutoheshimu mapendekezo ya wataalamu.
 
“Tulimwambia IGP Mwema kwamba ni vizuri kama maofisa wenye ulemavu kama baadhi ya vigezo wanavyo basi wapewe vyeo huko huko mikoani, lakini wasiende chuoni,” alidokeza na kuongeza;
 
“Tulipendekeza yafunguliwe madarasa ya kanda wakishafanya mtihani wa kawaida wapewe vyeo huko huko, lakini wakija chuoni ni lazima wahudhurie vipindi vyote ambavyo vinafanya chuo kiitwe chuo.
 
“Chuo chochote kile kina vigezo vyake na kwamba ili mtu apate cheo alichokwenda kukisomea ni lazima ahudhurie asimilia 95 ya vipindi ikiwamo kwata, medani za kivita na kuzuia vurugu,”alisema.
 
Chanzo kingine kililidokeza Mwananchi kuwa maofisa hao waliripoti chuoni hapo wiki mbili zilizopita na katika uchunguzi, walibainika wana ulemavu ambao hawawezi kumudu mafunzo ya ukakamavu.
 
Mmoja wa maofisa hao waliotimuliwa alilalamika kuwa kitendo hicho siyo cha kiungwana kwa kuwa ulemavu huo waliupata wakiwa kazini wakilitumikia Taifa na hawajashindwa kuingia darasani.
 
“Baadhi yetu tumefanya kazi miaka 20 wengine 25. Wamekatika miguu. Wako trafiki wamegongwa na polisi wengine wamepigwa risasi na majambazi wakapata ulemavu si sawa kutunyima vyeo,” alidai.

Ofisa huyo alisema pamoja na ulemavu huo, lakini wamekuwa wakipangiwa kazi na kuzimudu kama kawaida isipokuwa zile za ukakamavu na kwamba hata wakati wakipendekezwa, walikuwa wanajulikana matatizo yao.
 
Alipoulizwa na Mwananchi jana, Mbushi alithibitisha kuwapo kwa uamuzi wa kuwaondoa chuoni maofisa hao, lakini akasema wanasubiri maelekezo zaidi kutoka makao makuu ya polisi.
 
“Bado hatujawaondoa lakini ukweli ni kwamba kama mtu hawezi kumudu mafunzo lazima aondolewe. Kama mtu hawezi kuingia kwenye paredi anakosa vigezo vya chuo,” alisema na kuongeza;
 
“Tunawasiliana na makao makuu ili tuone wataamua nini, lakini kwa kweli hawawezi kumudu mafunzo ni wagonjwa wameumia, wengine miguu mibovu na mafunzo ni ya kijeshi siyo darasani pekee,” alisema na kuongeza:
 
“Ni lazima tuchukue kila aina ya tahadhari unaweza kulazimisha halafu mtu akafa kwa sababu mafunzo hasa ya ujasiri ni magumu, lakini kumbe mtu amekuja ni mgonjwa,” alisisitiza Mbushi na kuongeza;
 
“Kwa hiyo wamependekezwa kupata vyeo kwa utaratibu wa kawaida kabisa ndani ya Jeshi la Polisi wanaingia darasani kama kawaida, lakini gwaride ambalo ni sehemu ya mafunzo hawawezi.”

polisi
Maofisa wa Polisi wapatao 120 wa Jeshi la Polisi, waliokuwa wakihudhuria mafunzo ya kupandishwa vyeo katika Chuo cha Taaluma ya Polisi Moshi (MPA), wametimuliwa chuoni hapo. 
 
Nyumba,Plot na Hoteli zinauzwa( CONTACTS:0652314181, EMAIL:aramakurias@yahoo.com, rocklandrealestate1@gmail.com)

Nyumba inauzwa, ipo mtaa wa Mindu, plot sqm 800, nyumba ni ya gorofa moja, ina kibali cha ujenzi wa gorofa 6, bei usd laki 5

Nyumba inauzwa, ipo Upanga mtaa wa Mtitu plot sqm 1007 bei usd laki 8.5,

Plot inauzwa, ipo Upanga near church ownership , plot sqm 900
Plot inauzwa, ipo Tazara face tarmac road, sqm 300, bei usd laki 9
Plot inauzwa, ipo Mikocheni karibu na nyumba za mawziri,ina usalama,sqm 2007 bei usd laki 8.5
Plot inauzwa, ipo Ahile selas,ipo karibu na barabara, bei usd millioni 5.5
Plot inauzwa, ipo Upanga mtaa wa mtitu sqm 1007, eneo la bishara bei usd laki 8.5
Plot inauzwa, ipo Mikumi, ina ukubwa wa eka 202, bei usd laki 2.5
Hoteli inauzwa,ipo km 20 kutoka hifazi ya taifa, ina tittle miaka 99 pia ina eka 76 inatazamana na barara kuu ya Morogoro kwenda Dodoma karibu na kituo cha umeme bei usd laki 2. Agent Deo( contacts 0754605213)
Magodown ya kupangisha yanapatikana Mwanza na Dar es salaam
Centrally located, furnished office
  space for RENT.
  A total of 150sqm of furnished
  office space is now available in a centrally located place
  in Dar es Salaam for immediate rent.  Facilities
include a well planned office layout, ample parking space,
  security and standby generator.  details and enquiries,
  please get in touch with Skymark relaties on 022-2134422/33
or 0684 468468.

( CONTACTS:0652314181, EMAIL:aramakurias@yahoo.com, rocklandrealestate1@gmail.com)

clouds stream