Mavazi mengi huenda na miwani ila swali kubwa ni je, ipi ni chaguo bora kwako? Kifupi unaweza vaa yoyote maadam umbile la uso wako na rangi ya nguo zako na ngozi zinaenda poa na hio miwani. Tazama miwani zifuatavyo then niambie ipi umeipenda zaidi....