Kutokana na hali halisi ya barabara nyingi za Afrika kua nzuri na zenye mawe mengi, Toyota highlander linaonekana kua ni gari lenye uwezo mkubwa wa kustahimili hali ya kijografia ya nchi nyingi za Afrika pamoja na Tanzania. Gari hili kwa toleo la mwaka 2013 limeonekana kua kivutio kama lilivyokua toleo la Harrier na lina injini kubwa kwa ajili ya safari za masafa marefu.
Toyota imejivunia sana kwa toleo hili ingawa kwa nchi zetu swala la spea bado ni changamoto lakini kwa ubora na muonekano, hili ni gari la kununua.