Moto umezuka hosteli za Mabibo chuo kikuu Dar es salaam (UDSM) asubuhi hii
Taarifa zilizotufikia hivi Punde, kumezuka Moto kwenye Hostel za Mabibo za Chuo Kikuu Dar es salaam (UDSM). Moto huo bado unaendelea kuwaka kwenye jengo la Block B.
Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika, tutakujulisha zaidi kuhusiana na tukio hili.