Habari picha, Simba walivyoitandika Azam
Jana kikosi cha ‘Wekundu wa Msimbazi’ Simba kilifanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 2-1 mbele ya Azam FC kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara iliyochezwa kwenye uwanja wa Taifa.
Hizi ni picha zinazoonesha baadhi ya matukio mbalimbali yaliyookea kwenye uwanja wa Taifa wakati wa mchezo kati ya Simba SC dhidi ya Azam FC.

Ramadhani Singano ‘Messi’ (kulia) akishangilia goli aliloifungia Simba pamoja na mchezaji mwezake Ibrahim Ajib

Wachezaji
wa Simba SC wakishangilia kwa pamoja baada ya Ramadhani Singano
kuifungia timu yao goli la pili na la ushindi dhidiya Azam

Mgolikipa wa Simba Hussein Sharrif (kushoto) akiwa na Manyika Jr baada ya mchezo wa jana, makipa hao ni majeruhi