MAREKANI ‘ YAITUHUMU ’ KOREA KASKAZINI KUFADHILI UGAIDI
Rais Barack Obama wa
Marekani amesema utawala wake utafanya hivyo baada ya kuilaumu nchi hiyo
kufanya uhalifu wa mtandao dhidi ya kampuni ya Sony Pictures.
Amesema mara tu
mchakato wao huo utakapokamilika, watajibu mashambulizi hayo. Korea
kaskazini imeziita tuhuma hizo zilizotolewa na Marekani dhidi yake kuwa
ni za uzushi.
Korea kaskazini
ilikuwa katika orodha ya nchi zinazofadhili ugaidi, kabla ya kuondolewa
wakati wa utawala wa Rais George Bush wa Marekani mwaka 2008.