NDEGE YAPOTEA NA ABIRIA 162
Ndege inayopendelewa hasa kutokana na kuwa na bei ya nafuu,AirAsia imepoteza mawasiliano na wataalamu wa anga na jopo la waokoaji wakijitaidi kuitafuta kujua wapi ilipo ndege hiyo iliyokuwa imebeba idadi kubwa abiria kutoka nchi mbalimbali kama Indonesia 157,Singapore 1,Malasia 1 na Wakorea 3 huku kukiwa na watoto 16 na Mjamzito kwenye kundi la Abiria waliopotea.Ndege hiyo A320-200 yenye abiria 162 ilitarajiwa kutua Singapore saa 8.30 asubuhi ya leo tarehe 28.12.2014.