Prof. Muhongo, Ngeleja, Kamani kutangaza nia leo
Tarehe June 2, 2015
Mbio za urais kupitia kwa tiketi ya chama cha Mapinduzi imezidi
kushika kasi huku Wanasiasa mbalimbali kutoka chama cha Mapinduzi
wakijitokeza kutangaza nia pamoja na kuweka vipaumbele vyao endepo
watachaguliwa kuwakilisha chama chao kuiongoza nchi.
Aidha, wanasiasa wanaotarajia kutangaza nia leo ni Mbunge wa Sengerema mkoani Mwanza, William Ngeleja pamoja, Waziri wa Mifugo na Maendeleo ya Uvuvi, Dk. Titus Kamani na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospeter Muhongo.
Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na chama cha Mapinduzi CCM imebainisha kuwa wanasiasa wanaotaka kuwania urais watachukua fomu makao makuu ya chama hicho yaliyopo mkoani Dodoma ifikapo juni 3 siku ya jumatano wiki hii.

Prof.Sospeter Muhongo,Williaum Ngeleja, Dk. Titus Kamani nao wanatarajia kutangaz nia kugombea urais leo.