Saturday, 21 January 2017
Trump Ala Kiapo Rasmi Na Kuwa Rais Wa 45 Wa Marekani
Rais Obama na mkewe Michelle Obama wakimkaribisha Ikulu ya Marekani Rais mteule, DonaldTrump na mkewe Melanie Trump
Msafara wa Rais Obama na Rais mteule wa Marekani, DonaldTrump ukiwa umewasili CapitalHill ambapo shughuli ya kuapishwa Rais mteule imefanyika.
Rais Mteule Donald Trump akila kiapo cha kuwa Rais wa 45 wa Marekani huku familia ikishuhudia
Newer Post
Older Post
Home
clouds stream