Sudani Kusini Yakubaliwa Uanachama Afrika Mashariki
Tarehe March 2, 2016
Nchi ya Sudani leo imekubaliwa kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC katika kikao kilicho ongozwa na Mwenyekiti wa sasa wa jumuia hiyo Rais Dkt. John Magufuli wa Tanzania.
Sudan Kusini ilijitenga na Sudan tarehe 9 Julai mwaka uliopita ambapo ilituma maombi ya kujiunga na Jumuiya ya Afrika Mashariki lakini jumuiya hiyo ilisema kwamba bado inakabiliwa na matatizo ya kisiasa na wala uchumi wake ambao asilimia 98 yake inategemea mauzo ya mafuta si wa kuridhisha.
Nchi wanachama wa jumuiya hiyo ni Nairobi Kenya, Burundi, Rwanda, Uganda, Tanzania na Kenya.