Yaliyojiri Wakati Katibu Mkuu Mpya Chadema Akitambulishwa Mwanza
Tarehe March 14, 2016
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jana kimemtambulisha Katibu mkuu CHADEMA Dr Vicent Mashinji kwenye viwanja vya Furahisha jijini Mwanza.
Kwa matukio zaidi katika picha tazama hapa..