Thursday, 10 August 2017

Kenya Tafrani Tupu Kenyatta ‘Akimsulubu’ Odinga

20638374_1573510416046280_933792713497758093_n
IMG-20170426-WA0006

Baada ya matokeo ya uchaguzi nchini Kenya kuonyesha kuwa Rais, Uhuru Kenyatta wa chama cha Jubilee amembwaga nchini mpinzani wake mkuu, Raila Odinga kutoka NASA, vurugu zimezuka nchini humo na kulazimisha polisi kutumia nguvu ya ziada kurudisha hali ya usalama.

Wafuasi hao wanaodaiwa kuwa ni wa Odinga, wameingia barabarani na kuanza kuchoma moto matairi wakipinga matokeo yaliyotangazwa na tume ya uchaguzi, IEBC kwa madai kuwa matokeo hayo ni batili kwakuwa hayajahusisha fomu namba 34A.

20638306_1635154649836527_3068849489156428303_n20638269_1635154269836565_5464980216521324606_n20638379_1635155893169736_978644527366134007_n20638570_1635155959836396_830180619231598293_n20638676_1635155509836441_4984990763712622596_n20707934_1635155766503082_8197543443633455489_n20663906_1635155176503141_7966425648335177527_n20663699_1635154019836590_2249841030821432605_n20643424_1573510532712935_54656106618623647_o20638246_1635155996503059_4577577367574576231_nke

clouds stream