Tuesday, 18 July 2017

Kenya Yaingiza Vifaa Kukabiliana Na Uhalifu Wakati Na Baada Ya Uchaguzi

riot-control
IMG-20170426-WA0006

Serikali ya Kenya imeingiza zana mpya kwa ajili ya kukabiliana na waandamanaji wanaoweza kujitokeza baada ya Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika mapema Agosti, 2017.

Baadhi ya zana hizo zilizoingia ni pamoja na magari ya kuzuia maandamano, bunduki na mabomu ya machozi.

clouds stream