Wednesday, 5 July 2017

Mtanzania Aibuka Kidedea Tuzo Ya Picha Uingereza

mshindi picha

IMG-20170426-WA0006

Mtanzania Samuel Mwanyika(19) ameshinda tuzo ya Stephen Thomas ambayo imetolewa na Taasisi ya kimataifa ya watu wenye mtindio wa ubongo(Down’s Syndrome Association) ya Uingereza.

Samuel Mwanyika ameshinda tuzo hiyo baada ya kutuma picha ya Pundamilia wawili wakiota jua katika hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro ambapo watoto kutoka nchi 18 walishiriki shindano hilo la picha.

Kufuatia ushindi huo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekutana na Samueli na kumpongeza kwa ushindi huo.

clouds stream