Monday, 17 July 2017

TANZIA: Waziri Mwakyembe Afikwa Na Msiba Mzito

Mwakyembe
IMG-20170426-WA0006
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amepatwa na msiba mzito wa kufiwa na mkewe, Linah George Mwakyembe .
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa inasema marehemu alilazwa katika hospitali ya Aga Khan ambapo alikuwa akipatiwa matibabu mpaka kifo kilipomfika.
19933287_123555074921279_3135320959234342912_n

clouds stream