Monday, 10 July 2017

Rais Magufuli,Mkapa Uso Kwa Uso Wilayani Chato

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  jana  akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli jana akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa.
IMG-20170426-WA0006

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli jana amemkaribisha Rais mstaafu wa awamu ya Tatu Benjamin William Mkapa Chato mkoani Geita.

Rais Mstaafu Mkapa leo anatarajiwa kukabidhi nyumba 50 za watumishi wa sekta ya Afya zilizojengwa na Taasisi ya (Mkapa Foundation) katika mikoa ya Simiyu, Kagera na Geita.

clouds stream