Sunday, 23 July 2017

Wawili Wafariki, 36 Wajeruhiwa Vibaya Baada Ya Daladala Kugonga Treni

20258186_1554580617939260_8838269550985064993_nIMG-20170426-WA0006

Watu wawili wamedaiwa kufariki huku wengine 36 wakiwa katika hali mbaya zaidi baada ya basi dogo la abiria maarufu kama daladala walilokuwa wakisafiria leo asubuhi kugonga treni katika eneo la Davis Corner, Tandika-Relini.

Chanzo cha ajali hiyo kinadaiwa kuwa ni uzembe wa dereva wa daladala hilo linalofanya safari zake kati ya Buza na Gerezani,Jijini Dar es Salaam.

clouds stream