Friday 9 May 2014

MCHORO WA BEI GHALI KULIKO YOTE DUNIANI.

Raphael pamoja na Leonardo Da Vinci na Michaelangelo wamekua watu wa tatu ambao wamewahi kuchora picha zenye gharama kubwa sana duniani. Mchoro wa kichwa cha Mwanafunzi mmoja wapo wa dini umeonesha kua kivutio kikubwa sana katika mnada wa picha za kihistoria. Mchoro huu uliochorwa na Raphael umepata kuuzwa kwa bei ya dolla za kimarekani 47.9. Raphael aliyefariki mwaka 1920 akiwa na umri wa miaka 32 amechora picha hii kwa ustadi na umri wa picha hii umeipa picha hii thamani kubwa kwa wapenzi wa historia.

clouds stream