Sunday 9 March 2014

SHOWROOM: NYEKUNDU, NYEUPE, NYEUSI. HIZI NDIO RANGI ZA SEBULE ZA KISASA?

Katika hali ya kawaida kila mtu anapenda aishi katika hali ya usafi na kila anapoingia kwake atabasamu na kusema nyumbani ni eneo la pumziko kwangu. Hali hii inaweza kupatikana sio tu kwa kua na furniture kwako, bali kua na furnitue zinazoleta mvuto katika macho. Mpangilio wa rangi za vitu unavyoweka sebuleni vinaweza kukuletea muonekano mzuri wa nyumba yako. Angalia picha zifuatazo utajua kwanini tunasema haya.

Sebule hizi zimepambwa kwa sofa lenye rangi nyekundu yenye mito ya rangi nyeusi na chini kuna zulia zuri la rangi nyeupe.


clouds stream