Thursday, 29 January 2015

Luis Figo atangaza kugombea Urais FIFA


Luis Figo atangaza kugombea Urais FIFA



download
Nahodha wa zamani wa Ureno Luis Figo
Mchezaji wa zamani wa vilabu vya Sporting Lisbon, Barcelona, Real Madrid na Inter Milan Luis Figo ametangaza kugombea Urais wa FIFA huku akitarajia kumpa changamoubwa Rais wa sasa Sepp Blatter. Figo ametangaza uamuzi wake leo na kuandika kwenye mtandao wake wa Twitter ili kudhibitisha suala hilo.Moja ya jambo lililomsukuma zaidi Figo mpaka kujiingiza kwenye kinyang’anyiro hicho kikubwa kwenye soka Duniani.
Kwenye nafasi hiyo ambayo mpaka sasa wamejitokeza watu kadhaa ambao ni Prince Ali wa Jordan, Michael van Praag na Jerome Champagne.

clouds stream