Uzalendo wamshinda Nahodha wa ‘Azam’, aruka kushangilia Simba

Nahodha
akijurusha na mashsbiki wa Simba ndani ya Boti ya Kilimanjaro IV
inayomilikiwa na Azam Kampuni mama ya Klabu ya Azam FC, Jumatano asubuhi
katika bandari ya Zanzibar.

Makamu wa Rais wa Simba Geoffrey Nyange Kaburu akicheza na mashabiki wa Simba nadani ya Boti leo asubuhi.
Mashabiki hao wa Simba walikuwa wakiimba na kucheza ndani ya boti hiyo ambapo mfanyakazi huyo ambaye anadaiwa kuwa ni nahodha ghafla akajiunga na kikundi hicho cha ushangiliaji na kuanza kucheza kwa furaha kubwa.
Haikuchukua muda mrefu naye Makamu wa Rais wa Klabu hiyo Geoffrey Nyange Kaburu akaingia ndani ya boti hiyo lakini alipokutana ha shamla shamla hizo pia akaungana na mashabiki na kucheza kwa furaha kubwa.