Ajali nyingine ya Ndege,abiria 12 wamepoteza maisha

Ndege inayomilikiwa na TransAsia iliyokuwa imebeba abiria 58 imedondoka mtoni karibu na mji mkuu wa Taiwan, taipei huku chanzo kikubwa ikiwa ni kupoteza mawasiliano . Kwenye ajali hiyo ambayo watu 12 wamepoteza maisha na wengine wakiwa majeruhi huku vikosi vya waokoaji wakiendelea na zoezi hilo mpaka sasa. Mpaka sasa watu takribani 30 wameshaokolewa mpaka sasa.