Maelfu wakaribisha mabigwa wapya wa mataifa ya Afrika nyumbani

Rais wa Ivory Coast Alassane Ouattara akiwa na nahodha Yaya Toure wakati wakilitembeza kombe kwa mashabiki

Polisi ilibidi kuamuru watu kubaki majumbani kwao sababu ya usalama baada ya uwanja uliokuwa umeandaliwa kwa ajili ya kuwalaki wachezaji na viongozi baada ya ushindi wa kihistoria wa kushinda kombe la mataifa ya Afrika huko Guinea ya Ikweta.