Tuesday 23 May 2017

Watu 19 wauwawa kwenye mlipuko Manchester Uingereza

Manchester explosion

IMG-20170426-WA0006

Polisi katika mji wa Manchester nchini Uingereza wanasema watu 19 wameuawa na wengine 50 kujeruhiwa kwenye mulipuko uliotokea ndani ya ukumbi wa tamasha la muziki.

Waziri Mkuu wa Uingereza Theresa May ametaja tukio hili kama kitendo cha ugaidi.

Ikiwa itathibitishwa kuwa ni shambulio la kigaidi, litakua mbaya zaidi kuwahi kukumba Uingereza tangu Julai mwaka 2005 wakati zaidi ya watu 50 walikufa kwenye misururu ya milipuko mjini London.

Manchester explosion
Watu 19 wauwawa kwenye mlipuko Manchester Uingereza

Watu walioshuhudia mulipuko huo wa Manchester wamesema mwamziki wa Marekani Ariana Grande alikua amemaliza kuwatumbuiza mashabiki wake, wakati mulipuko mkubwa ulisikika na kutikisa ukumbi mzima.

Mashahidi wamesema kuona misumari iliyotapakaa sakafuni na harufu ya vilipuzi.

Manchester explosionEneo kulikotokea mulipuko huo limezingirwa na polisi waliojihami wanaendelea kushika doria.

Wakati huo huo Waziri Mkuu Theresa May anatarajiwa kuongoza kikao cha dharura cha kamati ya usalama baadaye leo.

Manchester terror attackRipoti ambazo hazijathitishwa kutoka kwa maafisa wa Marekani ambao hawakutajawa zinasema kuwa shambulizi hilo lilifanywa na mshambuliaji wa kujitoa mhanga.

Manchester explosionUkumbi wa Manchester ambao ulikuwa ukifahamika awali kama ukumbi wa wanaume, ndio ukumbua mkubwa zaidi mjini humo wenye uwezo wa kuwachukua watu 18,000

Barabara ya ukumbi huo unuangana na kituoacha treni cha Victoria kati kati mwa mji.

Manchester explosion
Watu 19 wauwawa kwenye mlipuko Manchester Uingereza

Ukumbi huo hutumiwa kuandaa tamasha za manyota wakuu kama Ariana Grande nyota wa runinga mwenye umri wa miaka 23 ambaye sasa ni nyota wa muziki wa pop.

Manchester terror attack

Manchester explosion


clouds stream