Wednesday 16 April 2014

AFRICAN WEAR KWAAJILI YA STAGE KWA WADADA.

Kuna wanawake wengi wenye vipaji mbali mbali barani Afrika na katika vipaji hivyo vingi kuna uiambaji. Kwa wanawake wa kiafrika, kupanda jukwaani kuna mambo mengi ambayo yanapaswa kuzingatiwa ikiwemo heshima pale wanapokua stejini. Tizama collection hii ya nguo za kiafrika ukiwa jukwaani.












clouds stream