Tuesday 15 April 2014

UHUSIANO WA CHINA NA AFRIKA KATIKA MAVAZI YA WANAWAKE.

Nchini Afrika kusini, kampuni ya mitindo Eki Orleans imejaribu kufanya jambo jipya kwatika mavazi ya wanawake kwa kujumuisha pamoja muundo wa mavazi kutoka China na Afrika na kuleta ladha flani mpya katika mavazi baada ya muda mrefu kua na vitu vya kufanana.
Kwa maneno yake mwenyewe Eki amesema kua alijaribu kufanya ubunifu huu akiwa anajua kua kama ilivyo Afrika, China pia ni nchi ambayo imejawa na tamaduni na kuwepo kwa tamaduni ndio kunaweza kuleta ladha mpya katika mitindo na mavazi kwa ujumla.
Jionee mwenyewe ubunifu huu:










clouds stream