Thursday 3 April 2014

BMW TOLEO JIPYA KUANZA KUUZWA MWEZI JUNE MWAKA HUU.

BMW inatarajia kuanza kuuza toleo lake jipya la magari liitwalo BMW 4-series Gran Coupé ambalo litaanza kuuzwa kwa bei ya $29,000 ambayo ni kama TSH million 46.4. Gari hili kwa mujibu wa BMW litaweza kupambana kwenye soka na Audi A5.
Gari hili lina milango tano mmoja ukiwa ni wa buti la nyuma la kuwekea mizigo. Gari hili litakua na nafasi kubwa ya ndani ambapo ina siti pia ya kuweza kuweka mtoto akiwa katika usalama wa hali ya juu. Pamoja na kua na injini kubwa lakini gari hili linaonesha kua la kifahari na pia la kifamilia zaidi. Angalia picha zake za ndani na nje.









clouds stream