Wednesday 2 April 2014

CHOCOLATE AFRICA: HAPINESS MAGESE AKIWA KAZINI.

HAPINESS MAGESE

Hapiness Magese ni mwanamitindo  kutoka Tanzania ambae amekua na mafanikio makubwa chini ya mkataba wa Ford models nchini marekani na Ice Model Management huko nchini Afrika Kusini. Mrembo huyo alishikilia taji la miss Tanzania mwaka 2001 amekua na mafanikio makubwa hasa kwa sababu ya utulivu wa akili na kuweka jitihada katika kazi zak na pia kujiepusha na vishawishi vingi ambavyo wasichana wengi hudumbukia.
Pamoja na kua model, hapiness amekua Msemaji wa Mfuko wa elimu Tanzania ambapo kupata nafasi kama hii sio jambo la kitoto. Hizi hapa ni baadhi ya picha zake akiwa kazini.









SPECIAL THANKS TO SAHARAN VIBES.

clouds stream