Thursday 10 April 2014

RAPPER BIG SEAN KAACHANA NA MPENZI WAKE RIVERA.


Baada ya miezi sita tu kutokea tukio la kumvisha pete binti Rivera, big sean ameachana na mrembo huyo.
Baada ya kufikiria kwa muda mrefu, sean ameona kua akatishe mipango ya harusi na pia kumtakia maisha mema Rivera na pia sean alisema baada ya hayo yote waliopitia, angeomba mambo yake na Rivera yawe kinya kinya na binafsi.
Angalia picha zaidi za mastaa hawa.


clouds stream