Monday 14 April 2014

REKODI YA KUTEMBEA PEKU JUU YA MOTO BADO HAIJAVUNJWA...


Katika historia ya kuvunja rekodi, mambo mangi yametokea na kuvunjwa ila rekodi aliyoweka mjerumani Rolf Iven bado haijapata mpinzani. Mjerumani huyu alitembea juu ya moto wa jiko la umeme kwa kama mita 22.9 mwaka 2009 na mpaka sasa rekodi yake haijavunjwa.
Alipoulizwa alifanyaje ili kuweza kupita katika moto akiwa peku alisema ni kwa sababu ya mazoezi na pia uwezo wake kwenye akili wa kuweza kutenganisha maumivu na mwili kwa muda. Ila yote juu ya yote, hakuna aliyevunja hii rekodi.

clouds stream