Wednesday 16 April 2014

UTAJISKIAJE JIKONI KWAKO KUKIWA HIVI?

Kuna muda kuwaza mema kunaleta mema pia, na pia kwa mawazo watu wengi hupata changamoto na mipango ya kutafuta mkwanja kupta hayo yaliyo mema. Utajiskiaje siku moja kufungua mlango wa nyumba yako mwenyewe na kujikuta ukitabasamu na pia ukiona kweli nimejipanga? Nadhani utaskia raha sana, sasa hebu tizama mpangilio wa jikoni alaf tafuta kwa udi na uvumba mkwanja utengenezee. Usiogope, dream big and get big.















clouds stream