Wednesday 6 April 2016

PSG Na Man City Watoka Sare

PSG Na Man City Watoka Sare

Tarehe April 7, 2016zlatan ibrahimovic akishangilia
zlatan ibrahimovic akishangilia
zlatan ibrahimovic akishangilia
Paris Saint-Germain imelazimishwa sare ya 2-2 na Manchester City Uwanja wa
Parc des Princes. Mabao ya PSG yamefungwa na Zlatan Ibrahimovic dakika ya 41 na Adrien Rabiot dakika ya 59, wakati ya Man City yamefungwa na Kevin De Bruyne dakika ya 38 na Fernando Luiz Rosa dakika ya 72.

clouds stream