Saturday 9 April 2016

Sala Muhimu : Ona Al Alhy Walivyoitumia Ijumaa Yao

Sala Muhimu : Ona Al Alhy Walivyoitumia Ijumaa Yao

ds
ds
Wachezaji wa Al Alhy wakisali katika msikiti ambao upo katika hoteli ya Hyatt Kilimanjaro Hoteli
Timu ya Al Alhy ambao kesho watakuwa dimbani kukipiga na Yanga katika mchezo wa Shirikisho barani Afrika kama ilivyo ada kwa wachezaji hao ambao wengi ni wa dini ya Kiislamu walipost picha wakiwa wanaswali wakikamilisha nguzo tano kama waislamu.12977201_1133214566721060_3927332430727187638_o
12977201_1133214566721060_3927332430727187638_o
Wachezaji wa Al Alhy wakielekea kuswali
 12970754_1133214740054376_551732269552952459_o

12970754_1133214740054376_551732269552952459_o

clouds stream