Thursday 9 March 2017

PICHA: Rais Magufuli Akiongoza Kikao Baraza La Mawaziri


17201155_1390719277638153_2079050242424037434_nimg-20161130-wa0008

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli jana akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri, Mjini Dodoma. Kikao hicho pia kimehudhuriwa na Makamu wa Rais, Mhe. Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa.

clouds stream