Wednesday 5 March 2014

MODELS WA AFRIKA WENYE KUTIA HAMASA ZAIDI KATIKA FANI YA MODELLING

FATIMA SIAD.
Amezaliwa Desemba tarehe 17 mwaka 1986 Mogadishu, Somalia. Model huyu ni mwenye asili ya mchanganyiko wa msomali na muethiopia na katika kazi zake alifanikiwa kushika nafasi ya tatu katika mashindano ya America's Next Top Model mzunguko wa 10.

WEZA SOLANGE
Weza Solange ni mtangazaji na model kutokea Luanda , Angola. Model huyu anafahamika zaidi kwa sababu ya kushiriki kwenye  Big Brother Afrika mwaka 2011. 

LIYA KEBEDE
Liya alizaliwa tarehe 3 January 1978 na ni waa asili ya Ethiopia na ni wakili wa mambo ya afya, mbunifu wa mavazi, na pia ni muigizaje. Model huyu ametokea takribani mara 3 kwene ukurasa wa kwanza wa gazeti la vogue Marekani. kulingana na takwimu za Forbes, Kibede ni model wa 11 anaelipwa pesa nyingi duniani katika mwaka wa 2007. pia ni balozi wa WHO.

YAYA DACOSTA

Yaya Dacosta amewai kuwa model amba 3 kwenye americas next top model na ni binti mwenye munekano mzuri wa kiafrika. Yaya alizaliwa mwaka 1982 na ni mtoto wa ki Nigeria. 

LEILA LOPEZ
Leila alizaliwa tarehe 26 mwaka 1986 huko Benguela Angola. Leila alifanikiwa kutwa taji la Miss Angola UK mwaka 2010 na Miss Universe 2011.

TEIKO DORNOR
Teiko ametokea kua moja wapo kati ya models ambao wana ushawishi mkubwa sana barani Afrika. Amewai kufanya kazi na MTV base, Blackhair and beauty, POSH magazine na magazeti mengi mengine.

LULA TEKLEHAIMANOT
Lula amewaikushinda taji ya Miss Afrika Mashariki na ni mzaliwa wa Ethiopia na kwa sasa ana umri wa miaka 21.

LERATO MOLOI
Lerato ni model kutoka Afrika Kusini ambae alianza kupata umaarufu zaidi mwaka 2009 baaada a kufanya tangazo la vipodozi vya Elizabeth Arden. Amewai pia kuwa kwenye ukarasa wa mbele wa gazeti la elle.

CHIKA IKE

Chika ike alizaliwa mwaka 1985 huko Nigeria. anafahamika zaidi kwa kazi yake ya uigizaji ila pia ni model na mkurugenzi wa kampuni ya Fancy Nancy Collections.

clouds stream