Saturday 22 March 2014

ROBIN VAN PERSIE WIKI 4-6 NJE.


Mshambuliaji wa manchester united Robin Van persie atakosa mechi zote mbili kati ya Man United na Bayern Munich baada ya kupata na tatizo katika paja na goti lake. Mholanzi huyu machachari iliyeivusha man united kwenda kwene 8 bora hataweza kuonekana kwa takriban wiki sita kwa maana kwa jaraha alopata ni kubwa.
David Moyes amesema kua kutokana na tatizo hilo, Van persie atakosa mechi na West ham na pia anfikiria kumchezesha zaidi Chicharito na Rooney.

KUTOKA: soccernet.com

clouds stream