Thursday 6 March 2014

WEDDING:ANGALIA PICHA ZA NGUO ZA HARUSI ZA KIAFRIKA ZAIDI NA JINSI YA KUFANYA HARUSI YAKO IONEKANE YA KIAFRIKA ZAIDI.

Mavazi ya harusi yanauwezo wa kufanya harusi kuonekana ya aina gani. kama katika moyo wako unatamani harusi yako iwe na muonekano wa kiAfrika zaidi basi wabunifu wengi wa mitindo wanashauri Bibi na Bwana harusi wajitahidi kuchagua mavazi yanayoendana na uafrika wanaoutaka. Kuna mavazi mengi kwanzia kwa wapamba harusi mpaka maharusi wenyewe ambayo yanaweza kuleta muonekano wa kiafrika katika harusi husika. Japokua pia upambaji wa ukumbi wa harusi unapaswa kuzingatia aina ya harusi unayotaka lakini kama unapenda kuonekana kiafrika zaidi, unaweza kuvaa kama hivi.

MAHARUSI

special thanks to Tekay designs.



UKUMBI



clouds stream