Monday 17 March 2014

UNAJUA SMARTPHONE 1O BORA MPAKA SASA? ANGALIA HAPA UONE.

Ulimwengu wa tecknolojia umebadilika sana na hasahasa kwenye maswala ya simu. Sio ajabu kuona mtu akimiliki simu yenye thamani ya TSH mil 1 au zaidi. Gharama hizi zinatokana na vitu vingi ambavyo leo hii vimetuletea kumi bora za smartphones. Kulingana wa tovuti mbali mbali na wataalam wa simu, kumi bora hii imetokana na kuangalia vitu vifuatavyo:
  • Muundo (design)
  • Kamera (cameras)
  • Uwezo wa betri (Battery life)
  • muundo wa ndani (internal specs) na 
  • vivutio vya software (special features)
Kutoka na hayo simu kumi bora mpaka sasa ni:

1O. MOTOROLA DROID 4


JUMLA YA POINTI 6.88/10

9. GOOGLE NEXUS 5




JUMLA YA POINTI 6.98/10

8. NOKIA LUMIA 1020

JUMLA YA POINTI 7.13/10

7. SONY EXPERIA Z1 S 


JUMLA YA POINTI 7.23

6. HTC ONE



JUMLA YA POINTI  7.25/10

5. LG G Flex


JUMLA YA POINTI 7.3/10

4. SAMSUNG GALAXY S5


JUMLA YA POINTI 7.6/10

3. APPLE IPHONE  5s


JUMLA YA POINTI 7.7/10


2. SAMSUNG GALAXY NOTE 3


JUMLA YA POINTI 8.2

1. LG G2



JUMLA YA POINTI 8.65

clouds stream