Tuesday 11 March 2014

SERENGETI: MAMA AFRIKA KAJALIWA!

Mbuga ya wanyama ya Serengeti ni kati ya mbuga za wanyama zenye umri mkubwa sana na inayofahamika sana nchini Tanzania na duniani kwa ujumla. Mbuga hii inashikilia nafasi kati ya miujiza 8 ya hapa duniani ikiwa na maajabu mengi na ikiwa na uhai wa kutosha ndani yake.
Mbuga hii in a ukubwa wa mita mraba 14,763 na iko mjini Arusha.
Angalia picha za uhai uliopo ndani ya binti huyu wa mama Afrika.

clouds stream