Friday 28 March 2014

SOKA LINA MAMBO. PICHA ZA POZI ZA MAGOLI NA USHANGILIAJI.

Kuna uhusiano gani kati ya Rooney na pele? Kwa kweli wote wako poa kwene maswala ya kuruka.
Fernando Torres a.k.a el ninyo akifanya yake na kumchanganya kabisa akili victor valdes wa Barcelona.
Mshindi wa goli bora Zlatan akionesha kua kuruka tikitaka kwake sio jambo la kushangaza. Mwanamiujiza huyu wa soka ni moja wapo kati ya wachezaji ghali duniani kwa sasa.


Refa akitoa kadi nyekundu kwa David Beckham akiwa  madoido yote aliyozaliwa nayo.
Sijui kama kuna njia nyingi sana za kushangilia ila kwa Mario Balotelli, kuvua shati ndio mpango mzima....
Kabla hajawaacha kucheza soka la kulipwa, Ronaldo De Lima alizipa shida sana kamera kumkamata akikimbia. Unahisi mwendo kasi wake ni ngapi hapa? 120? umepatia.
Kunao wengi ambao wanaslide, wanaruka sarakasi na menginayo ila hii ya Robert Kidiaba ni noma. Usijaribu nyumbani.

Babu Eto akionesha uzee wake baada ya kuweka kitu nyavuni. Hakika ngo'mbe hazeeki maini.
Sijui ni watu wa ngapi duniani wanaeza kufanya kitu kama hiki ila najua kabisa Christiano Ronaldo anaweza.

HAPA messi akasema.... Tukae chini na tushangilie.
MH.. Sidhani kama ingelikua Tanzania angelifanya hivi.





clouds stream